Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pop it in.....mchizi wa ghetto single boyKING KIBA 100 ...YOOOOOO
Uzalendo kwanzavote for wizikidi MTV EMA link ipo kwa bio yangu!!
inanikumbusha harakati za kihistoria zilizo pata kuwepo
luddism an Chartism
watu badala ya kugombana na mnyonyaji wanaenda kuharibu mashine na viwanda vya hao wanyonyaji
vivo hivyo kwa teamkiba badala ya kumshauri alikiba(anaye jinadi ni kipenzi cha watu) ili atoe nyimbo zitakazomfanya amfunike mwenzake
WAO WANAENDA KUNUNUA TSHETI NA KISHA KUZICHOMA KWANZA WAMEINGIA GHARAMA N.K
vote for wizikidi MTV EMA link ipo kwa bio yangu!!!Uzalendo kwanza
Unazinguavote for wizikidi MTV EMA link ipo kwa bio yangu!!!
hujasikia yoooTeh kwa hiyo unaamini vipi kama ni team kiba