rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mbona unazungumzia sana mechi za Simba, hivi mnasahau mechi tatu mfululizo yalitolewa matokeo ya kuibeba yanga.Sio kweli unachosema, kama ukiwapa Azam tv au tv nyingine inayotaka kurusha mechi za VPL lakini pia itumike kwa kutatua makosa yanayobishaniwa viwanjani bila shaka tff itatoa vigezo na masharti ya kuzingatiwa kama vile umadhubuti katika camera, replay, review, slow motion, nk. Something is better than never. Kama gharama na tech ya VAR hatuiwezi basi njia mbadala za kutatua tatizo lililokidhri lazima zitumike ili kuonyesha kuwa TFF na wadau wa mpira wanakerwa na kinachotendeka kunyima haki timu ndogo kwenye ligi. Mfano, haiwezi kuwa ni bahati mbaya tu refa kuipa Simba benefit of doubt kwenye mechi mbili mfululizo dhidi ya Mbeya City na KMC = 6ponts kwenye ligi nakuweka rehani nafasi za makocha wa timu ndogo na timu kubaki kwenye ligi kwa uzembe wa refa, mdhamini na tff
Issue ni zilezile tu za
1. Watu wanao bet
2. Viongozi kunyamazisha mashabiki kwa timu yao kushinda mechi hata kwa njia haramu
3. Mahaba ya timu
4. Njaa za waamuzi
5. Weledi wa waamuzi
Kmc na yanga penati isiyo halali, gwambina na yanga goli halali la kukataliwa, simba na yanga penati isiyo halali na penati halali za simba kukataliwa.
Kwa kifupi ukijadili kitu punguza mahaba