Timu kubwa kubebwa na marefa waziwazi kutakuja kusababisha maafa makubwa nchini

Mbona unazungumzia sana mechi za Simba, hivi mnasahau mechi tatu mfululizo yalitolewa matokeo ya kuibeba yanga.
Kmc na yanga penati isiyo halali, gwambina na yanga goli halali la kukataliwa, simba na yanga penati isiyo halali na penati halali za simba kukataliwa.
Kwa kifupi ukijadili kitu punguza mahaba
 
Kwenye hili ni nani anaekukataza na wewe kuzungumzia mechi za Yanga, KMC au Mbeya city?
 
Kwenye hili ni nani anaekukataza na wewe kuzungumzia mechi za Yanga, KMC au Mbeya city?
Kwa sababu umekazania kuzungumzia mechi za Simba wakati toka ligi ya msimu huu ianze mnufaika mkubwa wa maamuzi mabovu ni upotolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…