Ukweli ni kwamba jamaa wala hajachaguliwa ila alijipendekeza kwa kuandika barua tu,na nafasi hiyo huwa inatolewa na fifa kwa wanasheria wa vilabu ili wawasaidie wachezaji mambo huwa wanapata ugumu wa kuwa ajiri mawakili wa kusimamia kesi zao hasa za kimslahi.
Huwa zinatoka nafasi tatu,ambazo huwa ni bure yaani(pro bono)so kwa miaka 3 jamaa hatalipwa chochote cos ni nafasi ya kujitolea tu,dizani ya mwalimu wa kujitolea tu.
Japo si kitu kibaya,anaweza kupata exposure na akaja kuwa mtu mkubwa one day,ila kusema ameteuliwa na fifa,HAPANA WAKUU,kimsingi kufanya kazi ya bure kwa miaka 3 nayo ni mazoezi kwa kweli,inahitaji moyo mkubwa.