Timu kubwa: Simon Patrick Simon ateuliwa FIFA

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Timu kubwa.... watu wakubwa

Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), limemchagua Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC Simon Patrick kuwa Mwanasheria wa FIFA anayeshughulikia masuala ya migogoro ya Wachezaji Duniani kote kwa kipindi cha miaka mitatu.

NB hii ndio faida ya kufika fainali [emoji23][emoji23]
1688882025007.jpg
 
Wenzenu wanasajili huko nyie mnashangilia ujinga mmekuwa kama wafuasi wa Zumaridi mara mkeshe saa 9 za usiku kama wachawi[emoji1787]
 
Yanga anaenda kubeba Tena kombe
 
Ukweli ni kwamba jamaa wala hajachaguliwa ila alijipendekeza kwa kuandika barua tu,na nafasi hiyo huwa inatolewa na fifa kwa wanasheria wa vilabu ili wawasaidie wachezaji mambo huwa wanapata ugumu wa kuwa ajiri mawakili wa kusimamia kesi zao hasa za kimslahi.

Huwa zinatoka nafasi tatu,ambazo huwa ni bure yaani(pro bono)so kwa miaka 3 jamaa hatalipwa chochote cos ni nafasi ya kujitolea tu,dizani ya mwalimu wa kujitolea tu.

Japo si kitu kibaya,anaweza kupata exposure na akaja kuwa mtu mkubwa one day,ila kusema ameteuliwa na fifa,HAPANA WAKUU,kimsingi kufanya kazi ya bure kwa miaka 3 nayo ni mazoezi kwa kweli,inahitaji moyo mkubwa.
 
Kateuliwa Mzee baba
 
Back
Top Bottom