Timu Kupewa Wiki Nzima Kujiandaa

Timu Kupewa Wiki Nzima Kujiandaa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Najiuliza sana hili linalotokea ligi ya Tanzania kwamba ati timu inapewa wiki nzima kujiandaa kwa mechi

hivi ni kwa nini hasa

au miundo mbinu au uchawi au lishe duni?
 
Mfumo Wa Soka La Bongo Ni Magumashi Tupu!! Ndio Yale Yale Tunayoona Na Kuyasikia Yakitokea Ktk. TFF!!
 
Sio tusioshabikia mpira tumeona title tukajua ni kupewa yale mambo yetu kwa wiki nzima ndo tujiandae
 
Jambo la msingi kesho washangilieni hao waarabu wenu halafu siku mkienda kwao wana wanyanyapaa kwa kuwaita watumwa na watu wa tabaka la chini! Magufuli ana kazi kubwa sana ya kuurudisha uzalendo ndani ya mioyo ya watanzania.

Sioni kama kuna tatizo timu kupewa muda huo kujiandaa.
 
nyie mlipewa mwez mzima mkachezea 4 na libolo.
 
hata wapewe mwaka, safari yao itaashia pale CAIRO
 
Wa mchangani haya mashindano mlishayasahau kabisa
 
Jambo la msingi kesho washangilieni hao waarabu wenu halafu siku mkienda kwao wana wanyanyapaa kwa kuwaita watumwa na watu wa tabaka la chini! Magufuli ana kazi kubwa sana ya kuurudisha uzalendo ndani ya mioyo ya watanzania.

Sioni kama kuna tatizo timu kupewa muda huo kujiandaa.
Uzalendo ninao lakini hata niwekewe panga shingoni siwezi kuishangilia yebo
 
Wazee wa raundi ya pili
Wamatopeni fc, hupati shida kuwajua. Tangu mpigwe vinne (4) kwa nunge na Libolo wala hamna hamu tena!!! Libolo walimaliza kila kitu saivi kumebaki kweupe!!!!
 
Back
Top Bottom