Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua La kuku hilo mzee..Acha wakae wiki nzima wapate sare, halafu waende Cairo wapigwe mkono
Halafu Nape amekandamiza, lazima wafanye uchaguzi by April 15.Uzuri kesho wanapigwa 2-0
HapO patamU sanAHalafu Nape amekandamiza, lazima wafanye uchaguzi by April 15.
Unakumbuka kabla hamjachezea LIBORO mlikaa muda ganiinaniwasha kwa sababu ni mshindani wangu wa karibu kwenye ligi naona kama anabebwa
Manji pressure inashuka presure inapandaHalafu Nape amekandamiza, lazima wafanye uchaguzi by April 15.
Uzalendo ninao lakini hata niwekewe panga shingoni siwezi kuishangilia yeboJambo la msingi kesho washangilieni hao waarabu wenu halafu siku mkienda kwao wana wanyanyapaa kwa kuwaita watumwa na watu wa tabaka la chini! Magufuli ana kazi kubwa sana ya kuurudisha uzalendo ndani ya mioyo ya watanzania.
Sioni kama kuna tatizo timu kupewa muda huo kujiandaa.
Wazee wa raundi ya piliWa mchangani haya mashindano mlishayasahau kabisa
Wamatopeni fc, hupati shida kuwajua. Tangu mpigwe vinne (4) kwa nunge na Libolo wala hamna hamu tena!!! Libolo walimaliza kila kitu saivi kumebaki kweupe!!!!Wazee wa raundi ya pili