magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali walioumia wachache ila hii Yanga leo ni kilio kwa Wananchi wote.
Unaweza ukapinga ila deep inside utakubadili kupitia Yanga kuna mapinduzi makubwa ya kisoka yanaenda kutokea.
Tanzania sio ya Makundi, Robo wala KUFA KIUME. Tanzania ni ya kupambania kombe.
Unaweza ukapinga ila deep inside utakubadili kupitia Yanga kuna mapinduzi makubwa ya kisoka yanaenda kutokea.
Tanzania sio ya Makundi, Robo wala KUFA KIUME. Tanzania ni ya kupambania kombe.