Timu kutoka Tanzania zitachukua Ubingwa wa CAF ndani ya miaka 3 ijayo

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali walioumia wachache ila hii Yanga leo ni kilio kwa Wananchi wote.

Unaweza ukapinga ila deep inside utakubadili kupitia Yanga kuna mapinduzi makubwa ya kisoka yanaenda kutokea.

Tanzania sio ya Makundi, Robo wala KUFA KIUME. Tanzania ni ya kupambania kombe.
 
Umelia wewe na ndugu zako, watu wote wa wapi, mbona mimi na familia yangu hatujalia. Tulijua nyinyi hamuwezi kuchukua lile kombe.
 
FUTA hiyo kauli kilio Cha wananchi wote tumefurahi na tunakesha tukipombeka wakuu Tuliopo TNT goms tukifurahia ushindi wa usma tufahamiane humu.

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Na ni Yanga tu ndio una uwezo huo, kwakuwa kuanzia timu, viongozi, wanachama hadi mashabiki wake wanajitambua na wanajua ni nini maana ya mpira.. hapa ilipofika Yanga ni kwasababu ya nidhamu kubwa ya kimchezo waliyokuwa nayo, kujiamini na kujituma kwa wachezaji, na viongozi kuwa na nia ya dhati katika kuiongoza timu katika sura ya kimchezo (soka)
 
Umelia wewe na ndugu zako, watu wote wa wapi, mbona mimi na familia yangu hatujalia. Tulijua nyinyi hamuwezi kuchukua lile kombe.
Sina hakika kama Kuwa Mbumbumbu kunaambatana na kushindwa kung'amua ulichokisoma au vipi. Maana nimeandika Kilio kwa Wananchi wote, Sasa sijui toka lini Kolo likawa Mwananchi?!

Acha kuipa mateso shingo kubeba dungu lisilo na faida. NO OFFENCE.
 
Ndani ya hiyo miaka mitatu tutegemee ubora na viwango kwa timu zingine hapa nchini Tanzania, mfano ruvu shooting, Azam, isiwe habari ya Simba Wala yanga Tena.
 
Na ni Yanga tu ndio una uwezo huo, kwakuwa kuanzia timu, viongozi, wanachama hadi mashabiki wake wanajitambua na wanajua ni nini maana ya mpira.. hapa ilipofika Yanga ni kwasababu ya nidhamu kubwa ya kimchezo waliyokuwa nayo, kujiamini na kujituma kwa wachezaji, na viongozi kuwa na nia ya dhati katika kuiongoza timu katika sura ya kimchezo (soka)
Ndo mkaamua kumlisha Feisal ugali na sukari??
 
Na ni Yanga tu ndio una uwezo huo, kwakuwa kuanzia timu, viongozi, wanachama hadi mashabiki wake wanajitambua na wanajua ni nini maana ya mpira.. hapa ilipofika Yanga ni kwasababu ya nidhamu kubwa ya kimchezo waliyokuwa nayo, kujiamini na kujituma kwa wachezaji, na viongozi kuwa na nia ya dhati katika kuiongoza timu katika sura ya kimchezo (soka)
Tuoneshe hilo kombe la luza mlilochukua?
 
Mboreshe na maslahi ya wachezaji wazawa kwanza
 
Sina hakika kama Kuwa Mbumbumbu kunaambata na kushindwa kung'amua ulichokisoma au vipi. Maana nimeandika Kilio kwa Wananchi wote, Sasa sijui toka lini Kolo likawa Mwananchi?!

Acha kuipa mateso shingo kubeba dungu lisilo na faida. NO OFFENCE.
Hayo mazezeta aliyewaroga kafa.

Watsteseka sana mwaka huu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685829131664.jpg
    FB_IMG_1685829131664.jpg
    45.6 KB · Views: 1
Sina hakika kama Kuwa Mbumbumbu kunaambata na kushindwa kung'amua ulichokisoma au vipi. Maana nimeandika Kilio kwa Wananchi wote, Sasa sijui toka lini Kolo likawa Mwananchi?!

Acha kuipa mateso shingo kubeba dungu lisilo na faida. NO OFFENCE.
Nilijua tu kuwa unafikiri kwa kutumia makalio!
 
Back
Top Bottom