Umelia wewe na ndugu zako, watu wote wa wapi, mbona mimi na familia yangu hatujalia. Tulijua nyinyi hamuwezi kuchukua lile kombe.Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali walioumia wachache ila hii Yanga leo ni kilio kwa Wananchi wote.
Unaweza ukapinga ila deep inside utakubadili kupitia Yanga kuna mapinduzi makubwa ya kisoka yanaenda kutokea.
Tanzania sio ya Makundi, Robo wala KUFA KIUME. Tanzania ni ya kupambania kombe.
Hivi hujajinyea kweli [emoji848]ebu amka!Ubingwa kwanza mpaka wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.
FUTA hiyo kauli kilio Cha wananchi wote tumefurahi na tunakesha tukipombeka wakuu Tuliopo TNT goms tukifurahia ushindi wa usma tufahamiane humu.Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali walioumia wachache ila hii Yanga leo ni kilio kwa Wananchi wote.
Unaweza ukapinga ila deep inside utakubadili kupitia Yanga kuna mapinduzi makubwa ya kisoka yanaenda kutokea.
Tanzania sio ya Makundi, Robo wala KUFA KIUME. Tanzania ni ya kupambania kombe.
Ubingwa kwanza wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.Hivi hujajinyea kweli [emoji848]ebu amka!
Sina hakika kama Kuwa Mbumbumbu kunaambatana na kushindwa kung'amua ulichokisoma au vipi. Maana nimeandika Kilio kwa Wananchi wote, Sasa sijui toka lini Kolo likawa Mwananchi?!Umelia wewe na ndugu zako, watu wote wa wapi, mbona mimi na familia yangu hatujalia. Tulijua nyinyi hamuwezi kuchukua lile kombe.
Labda ubingwa wa kuongea sanaUbingwa kwanza mpaka wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.
Ndo mkaamua kumlisha Feisal ugali na sukari??Na ni Yanga tu ndio una uwezo huo, kwakuwa kuanzia timu, viongozi, wanachama hadi mashabiki wake wanajitambua na wanajua ni nini maana ya mpira.. hapa ilipofika Yanga ni kwasababu ya nidhamu kubwa ya kimchezo waliyokuwa nayo, kujiamini na kujituma kwa wachezaji, na viongozi kuwa na nia ya dhati katika kuiongoza timu katika sura ya kimchezo (soka)
Tuoneshe hilo kombe la luza mlilochukua?Na ni Yanga tu ndio una uwezo huo, kwakuwa kuanzia timu, viongozi, wanachama hadi mashabiki wake wanajitambua na wanajua ni nini maana ya mpira.. hapa ilipofika Yanga ni kwasababu ya nidhamu kubwa ya kimchezo waliyokuwa nayo, kujiamini na kujituma kwa wachezaji, na viongozi kuwa na nia ya dhati katika kuiongoza timu katika sura ya kimchezo (soka)
Kolo ni kolo tu... sijui ni lini mtakuwa na akiliNdo mkaamua kumlisha Feisal ugali na sukari??
kwisha habari yenu๐๐ ๐๐Labda ubingwa wa kuongea sana
Hayo mazezeta aliyewaroga kafa.Sina hakika kama Kuwa Mbumbumbu kunaambata na kushindwa kung'amua ulichokisoma au vipi. Maana nimeandika Kilio kwa Wananchi wote, Sasa sijui toka lini Kolo likawa Mwananchi?!
Acha kuipa mateso shingo kubeba dungu lisilo na faida. NO OFFENCE.
Nilijua tu kuwa unafikiri kwa kutumia makalio!Sina hakika kama Kuwa Mbumbumbu kunaambata na kushindwa kung'amua ulichokisoma au vipi. Maana nimeandika Kilio kwa Wananchi wote, Sasa sijui toka lini Kolo likawa Mwananchi?!
Acha kuipa mateso shingo kubeba dungu lisilo na faida. NO OFFENCE.