Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yanga imesheheni watu wa fitna za mpira na waganga wa kienyeji..Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga , kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza ! haijulikani wanacheza fomesheni gani , yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa , Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa .
Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha , ni timu mbovu kuliko maelezo .
Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne .
Hivi huoni hii timu kama ni mbovu?Don't panic,comedown
Kwahiyo wanaongoza ligi kwa uchawi?Yanga imesheheni watu wa fitna za mpira na waganga wa kienyeji..
Hawana maajabu yeyote.
-- Dismiss case..
Fitna na uchawi..Kwahiyo wanaongoza ligi kwa uchawi ?
Hata huyu mchezaji garasa waliomsajili juzi, huyu Fiston sijui, hana lolote kabisa!Fitna na uchawi..
Hawana maajabu yeyote ya soka..
Zaidi ya mpira gwaride...
Hana maajabu yeyoteHata huyu mchezaji garasa waliomsajili juzi , huyu fiston sijui , hana lolote kabisa !
Tupe updates ili tuchangie uzi mkuuNafuatilia game ya Mbeya city na Yanga , kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza ! haijulikani wanacheza fomesheni gani , yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa , Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa .
Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha , ni timu mbovu kuliko maelezo .
Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne .
Dk 75 Mbeya city 0 - 0 YangaTupe updates ili tuchangie uzi mkuu
Wala si aibu ya Karne.. Yatatokea mauaji ya KimbariNafuatilia game ya Mbeya city na Yanga , kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza ! haijulikani wanacheza fomesheni gani , yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa , Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa .
Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha , ni timu mbovu kuliko maelezo .
Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne .
Ngoja tutafune viporo ndio utatuelewaNa nyie mbumbumbu fc mmeshindwaje kuongoza ligi mpaka sasa?
Pole sana kidimbwi tunaelewa maumivu unayoyapopata sasa hiviNa nyie mbumbumbu fc mmeshindwaje kuongoza ligi mpaka sasa?
Bila hata viporo kama kweli timu yenu ingekuwa bora sana basi sasa hivi mngekuwa kileleni, mmepata vichapo kutoka katika timu za kawaida sanangoja tutafune viporo ndio utatuelewa
Kwani Sarpong hayumo? Mbona wanateseka hivyo?Dk 75 Mbeya city 0 - 0 Yanga
Huyu Sarpong afadhali hata MwaikimbaKwani sarpong hayumo ? Mbona wanateseka hivyo ?
Nimeamini hii timu ni wachawiFitna na uchawi..
Hawana maajabu yeyote ya soka..
Zaidi ya mpira gwaride...
Nyuma geuka!!
Mbele tembea!!