Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Nani kakuambia Yanga kuwa ni timu mbovu? Timu imemudu kupata pointi moja dhidi Mbeya city, hii Yanga ni Moto wa kuotea mbali!! Hongereni sana Yanga!!

Yanga hii iliyotoka sare na Mbeya city ingekutana na As Vita, hao wakongoman wangekoma! Asanteni Sana timu ya wananchi kutupa burudani Safi ya kandanda Safi huko Mbeya!!
 
Nani kakuambia Yanga kuwa ni timu mbovu? Timu imemudu kupata pointi moja dhidi mbeya city hii Yanga ni Moto wa kuotea mbali!! Hongereni sana Yanga!!
Yanga hii iliyotoka sare na mbeya city ingekutana na As Vita, hao wakongoman wangekoma! Asanteni Sana timu ya wananchi kutupa burudani Safi ya kandanda Safi huko mbeya!!
Wewe tunajua tumbo linakuuma unajikaza tu
 
Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga , kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza ! haijulikani wanacheza fomesheni gani , yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa , Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa .

Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha , ni timu mbovu kuliko maelezo .

Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne .
Wewe jamaa ni makalio kweli kweli.
 
Pisi ton ,tonombe,kisinda ,sarpong ,naona wanaruka ruka tu uwanjan ,alaf ajab sasa KIDIMBWI fans wanavyowakubal Ni hatar[emoji23][emoji23] sijui wamewaroga .
Yanga mpira wa minguvu ila akil ya mpira hakuna kabisa.
Wanawapendea Mbio zao.
Kisinda anakimbia hatari.
 
Back
Top Bottom