Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Tanga Kuna Eneo Wanasema Kuna Mwembe Basha
Ukifika Chini Ya Huo Mwembe Basha Lazima Utatamani Kukaa
Sasa Kosa Ukikaa Tu Lazima Upitiwe Na Usingizi
Kitakacho Kukuta Ndiyo Yaliyomkuta Yanga Leo

Watu Wa Tanga Wanaujua Huo Mwembe
 
[emoji196][emoji38][emoji196][emoji196][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38]
 
Jibu limejibiwa mkwakwani Tanga!
 
Dah! Siku zinakimbia kweli kweli! Zile dharau zote, kwishaaa! 😁😁Siku hizi tunatetema tu.

Mtoa mada mwenyewe amejificha chini ya uvungu wa kitanda! Yaani hata haamini ndiyo Yanga ile aliyo idharau, au ni Yanga nyingine! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…