Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi huu kwa ajili ya kumbukumbu za jf. Ahsante
 
Labda kama ndoto umeota usiku nitaamini.!

Kama ni msoma upepo umefeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…