Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

Wana upepo mzuri.. Wana bahati tuu.. Hawana mpira wa kiasi hicho.

Wanaweza kukupa ugonjwa wa moyo. Markings mbovu presha tupu kwenye kulinda goli mechi ya Spain.. Na bado counter zao striker hawakuwa na utulivu... Wana bahati zaidi kuliko uwezo na kipaji.
 
Yeyote atakayefuzu leo kwangu sawa tu.
 
Kwa record zao mpka sasa naungana na wewe mkuu, kama timu mechi kumi na moja haijapoteza mechi hata moja imefungwa goli tatu tu, kistatistics wananafasi ya kutwaa kombe.
 
KIZAZI CHA KUTABIRI.
KIZAZI CHA TAMBI TAMBI.

KIZAZI CHA NYOKA.
KIZAZI CHA SHETANI.

KIZAZI CHA KAMALI.
KIZAZI CHA SHEHE YAHAYA.

MAPEPO MTUPU.
 
Nje ya mada kidogo.
# Source 1

# Source 2

Tunachokijua

Hayo makorokocho nimeyaona leo kwenye kila nyuzi nilizo fungua, hebu nijuzeni na mimi zina maana gani?

KUULIZA SIO UJINGA.
 
Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi huu kwa ajili ya kumbukumbu za jf. Ahsante

Veep mnalionaje kombe lenu wa Moroco
 
Hawa waarab wana laana! Hawataacha ubaguzi, kujitenga na kutenga wenzao na kujiona bora kuliko wengine duniani mpaka kiama! Na ndo maana hawaivagi na wazungu 🤔😊
Screenshot_20221215-000018_WhatsApp.jpg
 
Sasa dini imeingiaje hapa... Chuki haitokufaa kitu...
Mimi namfahamu huyo jamaa kwa komenti zake kule kwenye uzi wa kombe la dunia. Anashabikia timu kidini matokeo yake anaropoka hovyohovyo.

Mimi wala sina chuki, tafuta uzi wangu nikiwasifia Saudi Arabia walipoifunga Argentina. Waislam wengi sana mmekuwa na tatizo la ushabiki wa kidini. Hili halileti afya kwenye michezo.
 
Haikuwa na haja ya kumjibu... wenye akili wameshaelewa. By the way tumefurahi sana hao washenzi safari yao kuishia hapo.
 
Back
Top Bottom