Kwenye wafungaji wenye idadi kubwa ya magoli, naona hali ni tete kweli kwa wachezaji wa simba! Sijui tatizo ni fatique, au ni umri!
Yaani unakuta mchezaji kama Kagere ana tuvigoli tu nne tu mpaka sasa! ππ Hakuna tena zile mbwembwe za MK14nnnnn!!! za kuficha kijicho ππ