Iyo Yanga labda ikapindue meza ya matikiti k/koo
Mikia kesho Alhamis anaenda ugenini kupindua Meza ya Club Athletic Kagera Sugar.Iyo Yanga labda ikapindue meza ya matikiti k/koo
"Simba toka izaliwe haijawaji kupindua meza kibabe zaidi ya kukata rufaa.Ivi FIFA fc mnaendeleaje hapo msimbazi?maji machafu ya mto msimbazi yashaharibu bongo zenu mmekuwa nbunbunbu!(in rage'svoice) "-alizika mlevi wa gongo mmoja hapo Kariakoo ndogo!