Timu nne za Tanzania kupindua meza kibabe

Timu nne za Tanzania kupindua meza kibabe

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Wakati timu ya Taifa ya Tz ikiajiandaa kwenda Sudan kupindua meza kibabe mwezi October ! Yanga ,Azam pamoja na Malindi ya Zanzibar zote zitatatikiwa mwishoni mwa wiki hii kutumia staili na mbinu hiyo hiyo ya kupindua meza kibabe yenye chakula cha baunsa mwenye njaaaaa. Je Zesco watakata umeme Yanga washindwe kuiona meza? Ngoja tusubiri miujiza.
 
"Simba toka izaliwe haijawaji kupindua meza kibabe zaidi ya kukata rufaa.Ivi FIFA fc mnaendeleaje hapo msimbazi?maji machafu ya mto msimbazi yashaharibu bongo zenu mmekuwa nbunbunbu!(in rage'svoice) "-alizika mlevi wa gongo mmoja hapo Kariakoo ndogo!
Iyo Yanga labda ikapindue meza ya matikiti k/koo
 
Simba ya kina Jamhuri Kihwelo iliwahi pindua Meza pale Zambia kwa kupiga mtu goli tano bila hapa home walifungwa nne bila.

Back
Top Bottom