Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Wakati timu ya Taifa ya Tz ikiajiandaa kwenda Sudan kupindua meza kibabe mwezi October ! Yanga ,Azam pamoja na Malindi ya Zanzibar zote zitatatikiwa mwishoni mwa wiki hii kutumia staili na mbinu hiyo hiyo ya kupindua meza kibabe yenye chakula cha baunsa mwenye njaaaaa. Je Zesco watakata umeme Yanga washindwe kuiona meza? Ngoja tusubiri miujiza.