GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile mbwa kaamua mwenyewe kujipeleka kwa chatu ili akamezwe vizuri na kiulaini kabisa.
Vinginevyo Watanzania tupatao 61,741,120 tunajiandaa kupokea aibu kubwa na kapu la magoli kutoka Jijini Tunis nchini Tunisia, Jumatano ya wiki ijayo tarehe 9 Novemba, 2022.