GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hivi huoni aibu kuisakama yanga kila siku,kila wakati?Ni Akili ya Kawaida tu ambayo Wala Mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua kuwa ni rahisi sana kwa Adui yako Kukusoma akijua uko nae karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu mkiambiwa hamna Akili mnakataa na na Kukasirika. Mlichokifanya kuwahi Kuondoka ( Kusafiri ) leo ni kama vile Mbwa kaamua Mwenyewe kujipeleka kwa Chatu ili akamezwe vizuri na kiulaini kabisa.
Otherwise Watanzania tupatao 61,741,120 tunajiandaa kupokea Aibu Kubwa na Kapu la Magoli kutoka Jijini Tunis nchini Tunisia Jumatano ya Wiki ijayo tarehe 9 Novemba, 2022.
Kuna angle nyingne huyu jenta yuko vizuri ukiwchana na banter zake na spana za hapa na paleHuyu anayeandika hivi aliwahi kuiponda Simba ati kwa nini inaenda Angola siku moja tu kabla ya mechi na De Agosto. Alimtemea povu jingi sana Barbara pamoja na viongozi wengine wa Simba. Baada ya Simba kushinda ugenini yeye na mwenzake njaakalihatari wamenywea kama vile hawapo. Japo mimi ni Simba, naomba wanayanga mmpuuzilie mbali.
Asante sana na mno Mkuu.Kuna angle nyingne huyu jenta yuko vizuri ukiwchana na banter zake na spana za hapa na pale
Namfuatilia sana
Alitoa ushauri hapa wakui watumie helcopter watembelee mto ruvu na wakafanya hivyo ngoja niishie hapa
Salute kwake
Nakumbuka title ilikuwa inasema "simba kama mmeishiwa hela semeni mashabiki tuwachangie" watu kama hao wanaitwa kibubusa inabidi tuwazoee tuHuyu anayeandika hivi aliwahi kuiponda Simba ati kwa nini inaenda Angola siku moja tu kabla ya mechi na De Agosto. Alimtemea povu jingi sana Barbara pamoja na viongozi wengine wa Simba. Baada ya Simba kushinda ugenini yeye na mwenzake njaakalihatari wamenywea kama vile hawapo. Japo mimi ni Simba, naomba wanayanga mmpuuzilie mbali.