MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Hizi sio zandani wala nini.
Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya Afrika mpaka kajamba nani huko wanagombea fursa adimu ya kuonekana duniani kucheza kwa Mkapa na Wana Lunyasa pira biriani pira drafti.
wakali wa hizi kazi Sasa sisi tunasema kama wanagombania kucheza na Mnyama tuwaundie mashindano wiki ya Mnyama mkali kisha mshindi aje acheze na wana Lunyasi maana watapata wanachostahili
Ile video ya watu kugombania jersey ya simba imeenda mbali mpaka Frorentino Perez ameuliza hawa wanatokea nchi gani nataka game ya kirafiki Simba day ya msimu ujao
Kuna level hapo na standard kubwa sana kati yetu na Misukule
Tukutane kwa mkapa na jezi yako tarehe 19 mapema tu saa mbili kasoro