Hakuna timu ata moja ambayo imewahi kuchukua kikombe Cha Afrika itakuja kucheza Simba day achana na habari za vikombe zaidi ya kimoja. Simba Haina uwezo wa kugharamia timu yoyote Afrika iliyopo katika top 7 ije dar kucheza Simba day. Labda vita maana wapo kibiashara zaidi Ila timuzote kubwa schedule yao ya msimu mpya uwa imeandaliwa miezi kumi kabla.