Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30.

Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja.

Takwimu za timu hiyo:
Mechi 30
Ushindi 00
Sare 04
Kupoteza 26
Pointi 04
 
Naona mashujaa wakiifuta hii rekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…