Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

361571726_242540441946259_370596594353437770_n.jpg
 
Kwa Mkapa Yanga 1 Usm Alger 2, mechi ya Marudio Usm Alger 0 Yanga 1!!

Huo ubabe uko wapi hapo?
Mwenzako kakufunga bao 2 kwakooo, ndo maana alinyanyua kwapaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alibebwa na aggregate tu. Ule ushindi haukuwa na raha hata kidogo kwa upande wao. Maana walifungwa nyumbani, tena mbele ya maelfu ya mashabiki wao.

Na moto waliopelekewa siku ile, walitamani muda uishe mapema.
 
Bora wameweka record kuliko kuwa hapo katikati hujashinda na hujavunja record yoyote...
 
Alibebwa na aggregate tu. Ule ushindi haukuwa na raha hata kidogo kwa upande wao. Maana walifungwa nyumbani, tena mbele ya maelfu ya mashabiki wao.

Na moto waliopelekewa siku ile, walitamani muda uishe mapema.
Unajifarijiii wee, huo moto mlipelekewa nyie hapo kwa mkapaaa, na kuchomwaa 2,

Hizo aggregate nyie hamkuzitaka?au uwezo wenu hata kupambania Aggregate hamkuwa nao??

Mbabe wenu nusu ashuke darajaa huko, mkiambiwa mlikutana na wabovu hamtakiiiii
 
Back
Top Bottom