Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital.
Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko endapo timu ya Yanga ingefanikiwa kufuzu katika mashindano hayo Kisha wakapangwa nao kundi Moja.
As Vital ikinolewa na kocha Jean Ibenge misimu ya nyuma walichezea moto na ukawaunguza vibaya sana walipokutana na Simba Sports club katika mashindano ya clabu bingwa Afrika.
Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021.
Klabu bingwa Afrika:
Simba 4-1 As vital dimba la Benjamin Mkapa. 3/4/2021