Timu ya Azam inakwama wapi?

Kukamia ni kosa?
Si kosa, Ninacho zungumza mimi ni kuwa na kiu ya kushinda kila game. na si game ya Simba au Yanga tu

Mfano: Angalia mechi walizocheza Azamu vs Simba, Azamu walicheza vizuri sana,
.Azamu vs Namungo, Azamu alifungwa nyumbani. Angalia hizo mechi utaelewa nichozungumza Mkuu.
 
Tatizo Ni kina Popat hawako serious na ubingwa au kufanya vizuri unakaza mechi kubwa mechi za kawaida unafungwa....inabidi wabadilishe uongozi walete watu wa kutoka nje ya nchini.
 
1. Mpira wa [emoji1241] una siasa kubwa sana, wenye mpira wao hawataki sio tu Azam, Timu nyengine yyt iwe Juu ya SSC na YNG! Yameshawakuta huko nyuma TUKUYU...
Hongera!

Uchambuzi mdogo ila wenye maana kubwa sana.
 
Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake,

Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu.

Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
Mimi naona bado wapo kwenye FOUNDATION yaani wanajenga misingi,misingi ambayo ipo siku wataanza kufanya vizuri..Msingi wa kwanza ni ku mantain kubaki kwenye ligi na kwa nafasi nzuri za juu kwenye msimamo na msingi wa pili kuwa mmoja kati ya timu zenye upinzani kwa simba na yanga ...haya ndio niyaonayo mimi mana HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
 
kamia game zote sasa,Azam anakamia kwa Simba na Yanga akikutana na Namungo anarelax,hapo ndo tatizo linapoanzia.
Ukiiondoa
Malengo ya Azam ni kuifunga Simba tu basi.
Wanafanyaga hadi sherehe.
Ndio furaha ya mwenye timu Mzee Baresa.
Nyie kinawauma nini kwani ?
Mzee SSB ni Simba damu! Huko nyuma ashawahi kuwa Mtunza Hazina wa SSC.
 
1. Mpira wa [emoji1241] una siasa kubwa sana, wenye mpira wao hawataki sio tu Azam, Timu nyengine yyt iwe Juu ya SSC na YNG! Yameshawakuta huko nyuma TUKUYU, MAJI MAJI, MSETO, MTIBWA...
huu utetezi huwa nausikia sana lakini utakua ni utetezi wenye nguvu ikiwa Azam wangekua wanafanya vizuri kimataifa.

Namungo ameshiriki makundi CAF, Biashara ilibaki kidogo,.... ndugu yetu Azam yeye hajawahi.

Azam kuna shida kubwa kuliko hii ya siasa za bongo... mbona 13/14 walikua mabingwa?
 
Simba na yanga huwa hazifungwi!

What if izo team zingine ndiyo huwa zinaikamia Azam?
 
Ok
 
Tatizo Ni kina Popat hawako serious na ubingwa au kufanya vizuri unakaza mechi kubwa mechi za kawaida unafungwa....inabidi wabadilishe uongozi walete watu wa kutoka nje ya nchini.
Sawa.
 
Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake,

Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu.

Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?

Kubadilisha wachezaji na kocha mara kwa mara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…