Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU

Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na Kufikisha Alama 62

FT: African Sports 0-2 JKT Tanzania
⚽⚽

Vita Imebakia Kwa Timu Mbili kati ya Pamba FC ya Mwanza na Kitayosce FC ya Tabora kumtafuta Mmoja Atakae ungana na JKT Tanzania Kupanda Ligi Kuu Moja kwa Moja
 
Back
Top Bottom