severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Kwa hyo Simba ni wataalamu kuliko Kaizer chiefs eti!? Unachekesha sana!Kotei alikuwa mzuri kwenye kukaba ila nilikuwa namuona ufanisi wake kwenye kupiga pasi ulikuwa mdogo sana. Na mchezaji katika ngazi hii kama haupo comfortable on the ball inakuwa shida sana.
Nimapema sana kutoa lawamaNgoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Alikuwa hajulikani ila akaonyesha ubora wake,kulikiwa na sababu gani ya kumuacha mchezaji aloonyesha kiwango kizuri? Usiniambie ni mbovu mana Kaizer chiefs hawawezi sajili mchezaji mbovu toka simbaWakati kotei anakuja ulikuwa unamjua mkuu
Akikujibu nitagWakati kotei anakuja ulikuwa unamjua mkuu
🤣🤣🤣🤣Taratibu mkuu...!!Ndo wakamchukua yule muuza mapera wa Brazil?
Na wewe unijibu hapa, Leo Magori nilimsikia akisema Kotei bado ni mchezaji wao na wana mkataba nae na Kaizer wanasema wamemsaini akiwa free agent kwa nini ?Akikujibu nitag
Ndio naipata kutoka kwako.Na wewe unijibu hapa, Leo Magori nilimsikia akisema Kotei bado ni mchezaji wao na wana mkataba nae na Kaizer wanasema wamemsaini akiwa free agent kwa nini ?
Kwani ukiipata kwangu ni vibaya? Mi nimeitoa mbinguni si nimesema Magori kasema?Ndio naipata kutoka kwako.
Kutoka Simba feeder club kwenda Yanga au Kaizer Chiefs ni sawa kabisa.Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???
Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,
I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,
Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy
Kotei goodbye thanks for everything
Muulize Magori sasa.Kwani ukiipata kwangu ni vibaya? Mi nimeitoa mbinguni si nimesema Magori kasema?
Acha wehuu yanga nayo ni klabu au genge la vyura???Kutoka Simba feeder club kwenda Yanga au Kaizer Chiefs ni sawa kabisa.
Chura mna matatizo ya akili fullstop.Hauko timamu wewe, kama unaweza ukalinganisha kaizer chiefs na Simba basi ndio mana Taifa Stars inacheza vile ilivyocheza juzi na kufungwa
yah kusalimia na kuaga wakati anakwenda kaiza chiefssi alikua anaenda yanga huyu?
Wee hujitambui na ni mpuuzi wa kupuuzwa.Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???
Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,
I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,
Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy
Kotei goodbye thanks for everything
Weupe saaana, ni suala LA muda tu tutakimbianaNimapema sana kutoa lawama
Muda bado na hao walio letwa hatujajua uwezo wao
Uongo alisema lini? Tupe evidence za Mwl kusema hivyoKocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???
Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,
I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,
Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy
Kotei goodbye thanks for everything
Ni genge la akina Kilomoni.Acha wehuu yanga nayo ni klabu au genge la vyura???
gerson fraga anaweza kucheza kama beki n pia kma kiungo uyu msudan n kiungo w chin pure kwaiyo mide zinazoweza chini n mkude gerson pmoja n msudan kingine haruna ayupo kaja kahata ni nzuri pia uwez kuwa n viungo wa 3 waxhambuliaji kahata n chama wanatosha team imesajir vzr tNi Kamari tu kumuacha kotei. Huyo msudani hatumjui Vipi endapo atapata injury wakati muhimu kama alivyopata Nyoni na kapombe itakuwaje? Pili vipi asipocop na timu itakuwaje? Tatu Vipi tukiwakabiliwa na game ngumu inayohitaji viungo wakabaji wengi si kotei angetoa Masada wake pia