Timu ya Kaizer Chiefs yamsajili Kotei

Timu ya Kaizer Chiefs yamsajili Kotei

Haruna na Kotei wameshaaga. Kila nikikumbuka viongozi walivyomtimua Hamisi Tambwe kimizengwe na kutuaminisha kuwa wameleta mtambo wa mabao Nserekuma sina hamu kabisa. Msimu mzima sijui hata alifunga goli ngapi kwenye ligi. Naona kama picha la kihindi linarudi tena. Hivi ilikuwa haiwezekani kuwaondoa tu Juuko, Kwasi na Zana au hata Gyan halafu tukaongeza hao wabrazili wao watatu/wanne kwa mwaka huu. Tukiona wamefanya vizuri ndio ndio wasajiliwe kwa wingi mwakani?

Yaani dunia wakati mwingine haiko sawa kabisa, kwa upande wangu nilitegemea mchezaji wa kwanza kufukuzwa Msimbazi ni Zana Coulibaly (mchezaji wa kocha). Lakini mpaka leo kimya au kashafukuzwa kimya kimya. Ngoja tusubiri tunaweza kuona maajabu ya mwaka ya Kotei na Haruna kunyimwa mkataba na Zana kuendelea kupeta Simba.

Anyway ngoja niweke akiba ya maneno pale hawa wabrazili watakapofanya vizuri angalau niwe na la kusema. Ila kwa sasa bado naamini walau Kotei alitakiwa apewe mkataba hata wa mwaka mmoja kwa ajili mpito.
 
Kwa hiyo anatoka India anakuja bongo ili aonekane duniani?
Huyo mchezaji amekuja Simba pia ana malengo yake, na malengo yake sio kucheza Mkwakwani tu bali ni kuonekana duniani atakapocheza kwenye champions league ambapo kuna viwanja vizuri na bora zaidi.
Tunao wachezaji wengi sana na wazuri wanaoweza kucheza kwenye viwanja vya vumbi na kupata matokeo, ndio maana tumemsajili beki wa Singida United na Lipuli.
 
Haruna na Kotei wameshaaga. Kila nikikumbuka viongozi walivyomtimua Hamisi Tambwe kimizengwe na kutuaminisha kuwa wameleta mtambo wa mabao Nserekuma sina hamu kabisa. Msimu mzima sijui hata alifunga goli ngapi kwenye ligi. Naona kama picha la kihindi linarudi tena. Hivi ilikuwa haiwezekani kuwaondoa tu Juuko, Kwasi na Zana au hata Gyan halafu tukaongeza hao wabrazili wao watatu/wanne kwa mwaka huu. Tukiona wamefanya vizuri ndio ndio wasajiliwe kwa wingi mwakani?

Yaani dunia wakati mwingine haiko sawa kabisa, kwa upande wangu nilitegemea mchezaji wa kwanza kufukuzwa Msimbazi ni Zana Coulibaly (mchezaji wa kocha). Lakini mpaka leo kimya au kashafukuzwa kimya kimya. Ngoja tusubiri tunaweza kuona maajabu ya mwaka ya Kotei na Haruna kunyimwa mkataba na Zana kuendelea kupeta Simba.

Anyway ngoja niweke akiba ya maneno pale hawa wabrazili watakapofanya vizuri angalau niwe na la kusema. Ila kwa sasa bado naamini walau Kotei alitakiwa apewe mkataba hata wa mwaka mmoja kwa ajili mpito.
[emoji113][emoji113]
 
Back
Top Bottom