Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

EveryOne knows that A golden chance comes Once. Nashauri tusitumie mamilioni kama sio mabilioni kusaka kura. Akishinda itakuwa sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Lightning never strikes the same place twice except in Sumbawanga
 
Wajumbe (pendekezwa)
1. Mstaafu JK,
2. Asha Rose Migiro,
3. Professor Anne Tibaijuka,
4. Ernest Makulilo,
5. Jenista Mhagama,
6. Mhe Jussa (ACT Wazalendo -Zanzibar).
7. Mhe Mabodi (CCM - Zanzibar).
8. Jokate (CCM - Bara).
9. Stiv Nyenyere (CCM - Bara).
 
Wajumbe (pendekezwa)
1. Mstaafu JK,
2. Asha Rose Migiro,
3. Professor Anne Tibaijuka,
4. Ernest Makulilo,
5. Jenista Mhagama,
6. Mhe Jussa (ACT Wazalendo -Zanzibar).
7. Mhe Mabodi (CCM - Zanzibar).
8. Jokate (CCM - Bara).
9. Stiv Nyenyere (CCM - Bara).
Hapana, mimi napendekeza hawa.
1. Mwajaku
2. Dotto Magari
3. Baba Levo

Kwa hicho kikosi, mapema Profesa Janabi anaingia WHO.
 
Hakuna cha exposure, hapa , wenzetu wanataka kusikia Dunia utaifanyia nini, so kama upo smart huitaji mbeleko ushawishi wako wa hoja unageuza mawazo ya wapiga kura hata kwa dk mbili tu , nimefanya interview nyingi ,nimeingia kwenye vinyanganyiro vingi vipo ambavyo sikufanikiwa safari ya kwanza ila ya pili nikapita ,hakuna cha mbeleko ,mjomba au Shangazi na nikapenya , wenzetu wanataka watu smart .

Shida hizi nafasi sijui tz tunakwama wapi , Niwajibu wa Serikari toa nafasi hizi wazi then watu watume maombi ya awali serikalin kufanyiwa usahili wale wamejitokeza kabla ya kumtangaza nani apeperushe bendela ya nchi , nawambieni mngeshangaa nchi hii ina vichwa ,ila sasa nani atawaona kama hujatangaza fulsa .

Hii nafasi nyepesi sana for smart people bila hata connection ,maana ni ya kupigiwa kura , wanaopiga kura sio ccm au chadema ,ni watu ambao wapo smart .
 
Wajumbe (pendekezwa)
1. Mstaafu JK,
2. Asha Rose Migiro,
3. Professor Anne Tibaijuka,
4. Ernest Makulilo,
5. Jenista Mhagama,
6. Mhe Jussa (ACT Wazalendo -Zanzibar).
7. Mhe Mabodi (CCM - Zanzibar).
8. Jokate (CCM - Bara).
9. Stiv Nyenyere (CCM - Bara).
4, 8 na 9 elezea watamshawishi nani na kwa ushawishi upi walionao katika nyanja za kimataifa
 
Hakuna cha exposure, hapa , wenzetu wanataka kusikia Dunia utaifanyia nini, so kama upo smart huitaji mbeleko ushawishi wako wa hoja unageuza mawazo ya wapiga kura hata kwa dk mbili tu , nimefanya interview nyingi ,nimeingia kwenye vinyanganyiro vingi vipo ambavyo sikufanikiwa safari ya kwanza ila ya pili nikapita ,hakuna cha mbeleko ,mjomba au Shangazi na nikapenya , wenzetu wanataka watu smart .

Shida hizi nafasi sijui tz tunakwama wapi , Niwajibu wa Serikari toa nafasi hizi wazi then watu watume maombi ya awali serikalin kufanyiwa usahili wale wamejitokeza kabla ya kumtangaza nani apeperushe bendela ya nchi , nawambieni mngeshangaa nchi hii ina vichwa ,ila sasa nani atawaona kama hujatangaza fulsa .

Hii nafasi nyepesi sana for smart people bila hata connection ,maana ni ya kupigiwa kura , wanaopiga kura sio ccm au chadema ,ni watu ambao wapo smart .
Ni kweli. Haya mambo yanayofanywa ndiyo yanashusha confidence za wabongo. Wanafika mahali wanaamini kila kitu kinapatikana kwa connection.
 
Back
Top Bottom