M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wabongo mkishaanza hivi mambo huwa yanavurugika maana zinaanza kuingia siasa. Wakati Ndugulile anafanya mchakato wa kuomba hadi kupitishwa hakuna aliyejua ilikua kimya kimyaTushampitisha 😄 ashachaguliwa
Ova
EveryOne knows that A golden chance comes Once. Nashauri tusitumie mamilioni kama sio mabilioni kusaka kura. Akishinda itakuwa sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
It's a truth that is hard and bitter to swallow, although there's no any other option than swallowing it.Lightning never strikes the same place twice except in Sumbawanga
Punguza ujuajiAkiteuliwa WHO,nitajiunga na Chadema!
Ndugulile ni Mgalatia anaijua kanuni ya " Sirini"Wabongo mkishaanza hivi mambo huwa yanavurugika maana zinaanza kuingia siasa. Wakati Ndugulile anafanya mchakato wa kuomba hadi kupitishwa hakuna aliyejua ilikua kimya kimya
Nitakuwa mtanzania WA kwanza kumuamini Saa100, iwapo Janabi atateuliwa.Punguza ujuaji
Hapana, mimi napendekeza hawa.Wajumbe (pendekezwa)
1. Mstaafu JK,
2. Asha Rose Migiro,
3. Professor Anne Tibaijuka,
4. Ernest Makulilo,
5. Jenista Mhagama,
6. Mhe Jussa (ACT Wazalendo -Zanzibar).
7. Mhe Mabodi (CCM - Zanzibar).
8. Jokate (CCM - Bara).
9. Stiv Nyenyere (CCM - Bara).
Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono.
PIA SOMA
- Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
4, 8 na 9 elezea watamshawishi nani na kwa ushawishi upi walionao katika nyanja za kimataifaWajumbe (pendekezwa)
1. Mstaafu JK,
2. Asha Rose Migiro,
3. Professor Anne Tibaijuka,
4. Ernest Makulilo,
5. Jenista Mhagama,
6. Mhe Jussa (ACT Wazalendo -Zanzibar).
7. Mhe Mabodi (CCM - Zanzibar).
8. Jokate (CCM - Bara).
9. Stiv Nyenyere (CCM - Bara).
Ni kweli. Haya mambo yanayofanywa ndiyo yanashusha confidence za wabongo. Wanafika mahali wanaamini kila kitu kinapatikana kwa connection.Hakuna cha exposure, hapa , wenzetu wanataka kusikia Dunia utaifanyia nini, so kama upo smart huitaji mbeleko ushawishi wako wa hoja unageuza mawazo ya wapiga kura hata kwa dk mbili tu , nimefanya interview nyingi ,nimeingia kwenye vinyanganyiro vingi vipo ambavyo sikufanikiwa safari ya kwanza ila ya pili nikapita ,hakuna cha mbeleko ,mjomba au Shangazi na nikapenya , wenzetu wanataka watu smart .
Shida hizi nafasi sijui tz tunakwama wapi , Niwajibu wa Serikari toa nafasi hizi wazi then watu watume maombi ya awali serikalin kufanyiwa usahili wale wamejitokeza kabla ya kumtangaza nani apeperushe bendela ya nchi , nawambieni mngeshangaa nchi hii ina vichwa ,ila sasa nani atawaona kama hujatangaza fulsa .
Hii nafasi nyepesi sana for smart people bila hata connection ,maana ni ya kupigiwa kura , wanaopiga kura sio ccm au chadema ,ni watu ambao wapo smart .
Bila kumsahau Mrisho Mpoto na Steve NyerereHapana, mimi napendekeza hawa.
1. Mwajaku
2. Dotto Magari
3. Baba Levo
Kwa hicho kikosi, mapema Profesa Janabi anaingia WHO.