pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
yanga haikujipanga kwa mashindano hayoHatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka kama chudaa, kwa mana ya kua wachezaji wao muhimu hawatacheza sababu wamefungiwa na FIFA.
Sasa baada ya Taarifa hii tunaamini watakua wameshangilia tena na kurukaruka kama chudaa.
HaterHatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka kama chudaa, kwa mana ya kua wachezaji wao muhimu hawatacheza sababu wamefungiwa na FIFA.
Sasa baada ya Taarifa hii tunaamini watakua wameshangilia tena na kurukaruka kama chudaa.
Sio kwa yanga hii ya mashisha na sindanoMazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Uongo mwingine huu, Mazembe alipofungwa na Yanga alikuwa anajitafuta na kujijenga upya ndio maana aliangukia Shirikisho. Mwaka jana walirudi kwenye ubora wao ndio maana walifika Nusu Fainali Klabu Bingwa ingawa mwaka huu pia wameflop baada ya kukimbiwa na wachezaji wao muhimuMazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
yanga hii ya mihadarati ama ya shisha na maraya wa sinza au yanga ipi..Mazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Hamisa KiHater
Mkuu tupe na chanzo cha taarifa sasa ili tukikutana na watu wa yanga tunawaeleza na ushahidi tunawaonyeshaHatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka kama chudaa, kwa mana ya kua wachezaji wao muhimu hawatacheza sababu wamefungiwa na FIFA.
Sasa baada ya Taarifa hii tunaamini watakua wameshangilia tena na kurukaruka kama chudaa.
We kweli Uto. Yaani Mazembe iwe bora halafu ishiriki shirikisho.Mazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Mazembe iliyocheza na Yanga ilikuwa unga sana wakati ule tajiri wao anasumbuliwa na utawala sasa Mazembe imerudisha makali yake subirini tu kukeketwa.Mazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Nafarijika sana yanga ikipata taabu, Now wachambuzi uchwara sijui wanasemaje huko maredioni,maana wao yanga hata iboronge vipi usikii wakiikosoa, ila kivumbi kwa Simba sasa!!Yanga inatia huruma
Wale wachambuzi ni bendela fuata upepoNafarijika sana yanga ikipata taabu, Now wachambuzi uchwara sijui wanasemaje huko maredioni,maana wao yanga hata iboronge vipi usikii wakiikosoa, ila kivumbi kwa Simba sasa!!
Ivi Mo yeye awatembezei bahasha za kaki hawa wachambuzi uchwara au? Maana ukiwasikiliza wanavyoiponda Simba ni dhairi kbisa unaona jamaa wanalipwa GCM