Timu ya Mazembe yaruhusiwa kutumia wachezaji wake, kilio kinasubiriwa Jangwani

Timu ya Mazembe yaruhusiwa kutumia wachezaji wake, kilio kinasubiriwa Jangwani

Mpira hauchezwi mdomoni unachezwa uwanjani na mpira ni dakika tisini tusubiri tuone !
 
Hatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.

Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka kama chudaa, kwa mana ya kua wachezaji wao muhimu hawatacheza sababu wamefungiwa na FIFA.

Sasa baada ya Taarifa hii tunaamini watakua wameshangilia tena na kurukaruka kama chudaa.
Humu tu
 
Back
Top Bottom