pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
-
- #21
Wakiongozwa na watu wa clouds..kuna mmoja hua anaongea hadi MIMATE....Nafarijika sana yanga ikipata taabu, Now wachambuzi uchwara sijui wanasemaje huko maredioni,maana wao yanga hata iboronge vipi usikii wakiikosoa, ila kivumbi kwa Simba sasa!!
Ivi Mo yeye awatembezei bahasha za kaki hawa wachambuzi uchwara au? Maana ukiwasikiliza wanavyoiponda Simba ni dhairi kbisa unaona jamaa wanalipwa GCM
1. Ujinga 2.Maradhi 3.Umaskini 4.Simba na Yanga 5. Siasa 6.Manabii na mitume 7. Uchawa 8. Ufisadi 9. Watu wasiojulikanaBABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.3.Magonwa na Maradhi
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
5 AJIRA
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Mazembe aliyefungwa na Utopolo hakua kwenye Ubora, alikua anajitafuta, msimu uliofata ndo alikua kwenye UboraMazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Malaika walikuja kutoka sudani...Mazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Mazembe ilikuwa mbovu kuliko wakati wowote.Mazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Maskini Amphibia wanamaliza mwaka vibaya mno. Tuwaombee sanaHatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka kama chudaa, kwa mana ya kua wachezaji wao muhimu hawatacheza sababu wamefungiwa na FIFA.
Sasa baada ya Taarifa hii tunaamini watakua wameshangilia tena na kurukaruka kama chudaa.
Hawa mammbwa sio wa kuonea huruma. ,[emoji706][emoji706]Siwapendi uto... Ila kuna mda nawaonea huruma...
Nikilitazama kundi lake naona hashindi hata mechi moja...
Endelea kuota ndoto nyevu.Yanga lazima achukue point 6 kwa mazembe.
Kwenye kundi la yanga atakaefuzu ni Yanga na Mc Alger
Mazembe na al hilal ni wasindikizaji tu
Ni kawaida ya wabwia unga wavuta madawa ya kulevya na shisha na kujidunga masindano kawaida yao kutukana na kudharau na kukejeli wanawake hata mama zao kisa kuilinda yanga.Mashabiki ya Simba hayatumiagi akili! Sasa hivi yamesahau kama yako kwenye mashindano ya kombe la akina dada na tarehe nane yanaenda kukutana na moto wa dada Ashura kule uarabuni!
kama mazembe alikuwa Bora tuambie msimu upi hakuwa Bora km kweli wewe ni mtu wa Mpira! FIFA watunge Sheria kali ikiwezekana sio kila mtu aongelee soka wengine hamieni kwa michezo mingine inayoruhusu uswahili kama kurusha mkuki, riadha, kurusha tufe, kuongelea hizo zote burudaniMazembe akiwa kwenye ubora alipigwa nje ndani na Yanga hilo halistui
Sasa kwani we ni nani ulifika hadi fainali haya mashindano ya Rede au Mmebadili Jinsia?Mashabiki ya Simba hayatumiagi akili! Sasa hivi yamesahau kama yako kwenye mashindano ya kombe la akina dada na tarehe nane yanaenda kukutana na moto wa dada Ashura kule uarabuni!
Al Hilal unamjua unamsikia? Yule wa kumzuia labda Mazembe na MC ALGER TU waliobaki hawammudu.Yanga lazima achukue point 6 kwa mazembe.
Kwenye kundi la yanga atakaefuzu ni Yanga na Mc Alger
Mazembe na al hilal ni wasindikizaji tu
Al Hilal unamjua unamsikia? Yule wa kumzuia labda Mazembe na MC ALGER TU waliobaki hawammudu.
Na navyomfahamu Mazembe atachukua si chini ya point 4 kwa Yanga