Timu ya Mpira wa miguu Namungo inamilikiwa na Tamisemi?

Wakuu habari za jumamosi?
Naomba Kama kuna mtu mwenye uelewa anieleweshe.

Ahsante

View attachment 1912163
Nchi hii kwa sababu haina katiba iliyotimia watawala wanafanya wanavyotaka ,KASIMU MAJALIWA ndiye anaemiliki hiyo timu na hiyo timu ameanza kumiliki baada ya kupata huo uwaziri ,kama tujuavyo kumiliki timu ni kazi kubwa ambayo inahitaji mitaji mikubwa ,sasa Majaliwa amepata wapi fedha za kuhudumia timu ambayo unamshauri mmoja?Hapa kuna maswali na Majibu ambayo yanahitaji tafakuri ,sikatai hilo gari kukodishwa kwa namna nchi inavyoendeshwa nina wasiwasi na hayo maamuzi ya huyo anaemiliki timu
 
Mkuu,
Kwa uelewa wetu wananchi unafikili tufanyeje ili tupate Katiba mpya?
 
Inawezekana ikawa inamilikiwa na halmashaur. Kwa hivyo inatumia gari za halmashaur zenye plate number SM. ( SM=serikali za mitaa)
 
Mnaona haya mambo kama mapya lakini yalikuwepo toka wakati wa Nyerere..

Samuel Sita aliwahi kuleta Simba kocha mzungu akawa analipwa hela na serikali
 
Akawapa kazi wabrazil barabara ya Morogoro -DAKAWA-Dodoma.
Simba wakapelekwa Brazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…