Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Sio kijana wa kujifunza maana ana zaidi ya miaka 27, kwa hiyo anapoitwa ni kwa ajili ya kucheza, na katika kikosi cha Ghana, local players hawazidi watatu, na yeye sasa anapunguaAu wanamuita ita tu kijana Okrah azoee timu yao kama kipindi fulani Tanzania walikuwa wakiwachukua akina Kelvin John na kusafiri nao
Ungemuona unge kaa kimya Bora umemkosa umekuja kutoa ya moyoni huku kumbe unateseka[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kichwa cha mwendawazimu kimesmshinda yule mabange wenu mpaka anabembeleza huku akilia ili aitwe!Kumbuka hata Asante Kwasi aliwahi kucheza timu ya Taifa ya Ghana.
Timu ya taifa ya Ghana kama Kichwa cha Mwendawazimu (Taifa Stars) kila mtu anacheza itategemea mganga wako kaamkaje siku hiyo.
Kaingiziwa mwiko huyo!Mbna unaweweseka na Okrah? We kuwa buzzy na Da Joy huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia U20 yupoMm nimeangalia kikosi cha Ghana toka 2019 mpaka leo sijaliona hilo jina labda Ghana fc ya Mburahati
Kaingiziwa mwiko huyo!
Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa
Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona
Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up
Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN?
Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye short list ya kikosi kinachosafiri kwenda mashindanoni anakuwa hayumo
Au wanamuita ita tu kijana Okrah azoee timu yao kama kipindi fulani Tanzania walikuwa wakiwachukua akina Kelvin John na kusafiri nao
Aliyewasema kuwa utopolo hamna akili zaidi ya baba yake na mh.Jk,mmempokea na mnamshangilia kila siku!! Hata yule kocha wenu aliewaita nyie kuwa ni manyani na mnabweka kama mbwa,kwa akili zenu akirudi leo mtampokea na kumshangilia pia! Sasa mnatofauti gani na manyani!!Ungemuona unge kaa kimya Bora umemkosa umekuja kutoa ya moyoni huku kumbe unateseka[emoji23][emoji23]
Na ukiitwa nyani imekaaje?Ndio maana Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu