Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Ni ndugu zetu haoNa ukiitwa nyani imekaaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaingiziwa mwiko huyo!
Galasa hilo hamna kitu.Huyu Jamaa timu aliyotoka haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya kimataifa na hata kubeba kombe la ligi kuu yao. Hapo Makolo wameingizwa choo Cha like kisichokuwa na maji wala Toilet pepa.Wameuziwa Mbuzi kwenye gunia.Niseme wazi tu kwa hatua ambayo Simba ilifikia siyo ya Kununua wachezaji hovyo hovyo ilitakiwa wanunua wachezaji waliothibitisha ubora wao kwenye ligi zao na mashindano ya kimataifa ili wawasaidie kusonga mbele zaidi. Makolo uamefanya usajili mbovu kama wa msimu uliopita 2021/2022.Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa
Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona
Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up
Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN?
Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye short list ya kikosi kinachosafiri kwenda mashindanoni anakuwa hayumo
Au wanamuita ita tu kijana Okrah azoee timu yao kama kipindi fulani Tanzania walikuwa wakiwachukua akina Kelvin John na kusafiri nao
Kumbe u20, wangekuwa wanaelezea vizuri, shukrani