kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Na nyie ibeni kama mnajua zinavyoibiwa!Tangu cdm ianze kugombea haijawahi kushindwa bali ccm ndiyo mnaiba kura zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie ibeni kama mnajua zinavyoibiwa!Tangu cdm ianze kugombea haijawahi kushindwa bali ccm ndiyo mnaiba kura zake
Waliokuwa wanaongoza kuiba wameanza kuhukumiwa na ahllahNa nyie ibeni kama mnajua zinavyoibiwa!
Mmeanza kulaumiana eti mashogaNa nyie ibeni kama mnajua zinavyoibiwa!
Nawaonea huruma sanaKazi sana kuzaa si kupata!
Katika ubora wako wa fitina.Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
View attachment 1966347
Waliokwiba wapo gerezani chini ya jaji sayuni!Waliokuwa wanaongoza kuiba wameanza kuhukumiwa na ahllah
Wapi 1.5 trillion za watanzania?Waliokwiba wapo gerezani chini ya jaji sayuni!
Kwani tayari zamu yako ya kulinda kaburi imekwisha?Waliokwiba wapo gerezani chini ya jaji sayuni!
Dogo tupo hapa kujadili ishu nyeti ya Taifa Stars kwenda World Cup Qatar 2022 na sio vitu vya kijinga!Zitto akitulia ana uwezo wa kuja kuiongoza nchi
Sawa bro kila la heriDogo tupo hapa kujadili ishu nyeti ya Taifa Stars kwenda World Cup Qatar 2022 na sio vitu vya kijinga!
Vipi umejinyonga!Kwani tayari zamu yako ya kulinda kaburi imekwisha?