Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg )

Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi

Ule msemo wa you punch me once i punch u triple umewakumba timu yatifa ya Nigeria.

Screenshot_20241014-160930.jpg
 
Libya wamepata kichaka cha kujifichia kwa kigezo wanalipa kisasi. Simba si juzi tu wamefanyiwa vurugu huko. Je, Simba waliwatemba jambo gani la kufanya wastahili zile vurugu?

Kiufupi hilo Taifa tangu aondolewe Gadafi limekuwa taifa la hovyo sana.
 
Yamkini mataifa haya yataingia ktk mgogoro na kuwekeana vikwazo.
 
Back
Top Bottom