Riskytaker JF-Expert Member Joined Mar 14, 2024 Posts 568 Reaction score 2,522 Oct 14, 2024 #1 Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple umewakumba timu yatifa ya Nigeria.
Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple umewakumba timu yatifa ya Nigeria.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Oct 14, 2024 #2 Kama tudinu, dani.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 14, 2024 #3 Doooh hii sio poa...
T Team JPM JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,197 Reaction score 1,826 Oct 14, 2024 #4 Ubaya Ubwela
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Oct 14, 2024 #5 Wao si walileta ukenge, wao wamefanyiwa umamba
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Oct 15, 2024 #6 Libya wamepata kichaka cha kujifichia kwa kigezo wanalipa kisasi. Simba si juzi tu wamefanyiwa vurugu huko. Je, Simba waliwatemba jambo gani la kufanya wastahili zile vurugu? Kiufupi hilo Taifa tangu aondolewe Gadafi limekuwa taifa la hovyo sana.
Libya wamepata kichaka cha kujifichia kwa kigezo wanalipa kisasi. Simba si juzi tu wamefanyiwa vurugu huko. Je, Simba waliwatemba jambo gani la kufanya wastahili zile vurugu? Kiufupi hilo Taifa tangu aondolewe Gadafi limekuwa taifa la hovyo sana.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Oct 15, 2024 #7 Yote haya sababu CAF haina meno ni kibogoyo
holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 1,859 Reaction score 2,986 Oct 15, 2024 #8 Yamkini mataifa haya yataingia ktk mgogoro na kuwekeana vikwazo.