mi kwangu sio ishu kukiwa na similarities kwenye jersey kit.. hasa ikiwa kali.. ubaya uige design mbaya, pia naona itokee club bongo waige ile jearsy ya Arsenal ile ya chenga chenga dah kali sana ile..
hata kampun kubwa zinafanya hivyo.. Nike alishawapaga Kaizer chief jearsy yenye mfanano na ya Barca..
Adidas ndo kabisa wanaongoza kwa kutoa identical kit kwa clubs.. wanabadili rangi logo na vikolombwezo kdg tu
kama kwenye magari design zinaigwa sio ishu kwenye jersey maana watu wanavaa zile nenbo za club hasa wala sio rangi au design..
ingekuwa watu wanavaa design Watu wangevaa sana za Arsenal
wakat mwingine unakuta sio kuiga concept zinafanana