Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ukipata kibonde unapiga,na kumbuka ndiyo timu inatengenezwa,hao unaowataja waliwahi kuanzisha timu za wanawake,so usidharau saanaWanacheza na wasiojua,wangeshinda hizo goli kwa timu kama Cameroon, Nigeria, Zambia ,Senegal ningekubali.
Jumatano wanacheza na Zanzibar mkuu kuanzia saa kumi
Penda cha nyumbani mkuu. Sisi ndio lwanza tunaanzaWanacheza na wasiojua,wangeshinda hizo goli kwa timu kama Cameroon, Nigeria, Zambia ,Senegal ningekubali.
Kumbuka walimkanyaga Zambia 2-1 wakachukua ndoo ya COSAFA mwanzoni mwaka huu. Kwasasa tuna timu nzuri ya wanawake. Hao Nigeria, Cameroon na Senegal wajipange kweli kweli siku wakikutana na hii timu.Wanacheza na wasiojua,wangeshinda hizo goli kwa timu kama Cameroon, Nigeria, Zambia ,Senegal ningekubali.
Tunataka mafanikio ya kueleweka bana kama wanajua wafuzu hata world cup ya tuone.Kumbuka walimkanyaga Zambia 2-1 wakachukua ndoo ya COSAFA mwanzoni mwaka huu. Kwasasa tuna timu nzuri ya wanawake. Hao Nigeria, Cameroon na Senegal wajipange kweli kweli siku wakikutana na hii timu.
Huyu binti anacheza vizuri wing ya kushoto, tatizo ni kua akishawapunguza kule hupenda kupiga krosi zisizo na macho. Yaan hupiga tu krosi kati bila kujua anampigia naniTuki-invest hawa mabinti watatuwakilisha vyema sana kimataifa shida tupo kwa wale vijeba kwa sababu ya mazoea tu...
D.Minja pekee anauwezo mkubwa wa kufanya maamuzi kuliko strikers wa stars
Hii timu ikiendelea hivi tutacheza World Cup muda si mrefu.Tunataka mafanikio ya kueleweka bana kama wanajua wafuzu hata world cup ya tuone.
Kuna wachezaji wa kutumainiwa katika ligi yetu kuu hawamfikii huyo Dionisia Minja. Anaupiga mwingi mno.Huyu binti anacheza vizuri wing ya kushoto, tatizo ni kua akishawapunguza kule hupenda kupiga krosi zisizo na macho. Yaan hupiga tu krosi kati bila kujua anampigia nani
Nimekuja Best.Asante sana mkuu kwa hii taarifa muhimu sana kwa sisi wadau nguli wa soccer ngoja nimualike mama soccer Shadeeya
Nimekuja Best.
Jana nilifanikiwa kuiona mechi yao na Burundi wako vizuri japo yule Mwanamisi ana kauchoyo fulani sa sijui ndio uchu wa kutaka awe na mabao mengi mana waeza kuta sehemu ya kutoa pasi mwenzake ascore basi atataka kumpiga chenga kipa mwishowe hamna anachoambulia.
Yule Donisia yuko vizuri na ni mwepesi katika kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
Kesho ndio mechi na Zanzibar au?Daa hukuniita! Japo nilikuwa very tight yet kesho nitajitahidi.
Junior wao wametoka kuchukua COSSAFA mbele ya Hao Zambia pale kwa MadibaWanacheza na wasiojua,wangeshinda hizo goli kwa timu kama Cameroon, Nigeria, Zambia ,Senegal ningekubali.
USA na FRANCE ni habari nyingine, lakini kwa hapa Afrika hawa Twiga Stars/Tanzania Queens wako vizuri.tunawafunga wabovu wenzetu sema kwa afrika mashariki hakuna atakaetufunga ila bado hatuna timu bora ukitaka kujua tuna timu ya kawaida kafatilie ile game ya USA NA FRANCE world cup ya wanawake alafu anagalia game za tanzania
Mkuu mechi ijayo itakuwa lini nisikose tafadhali
Mtani nionavyo tuwasifie kwa level ya timu wanazokutana nazo kwa sasa.Wanacheza na wasiojua,wangeshinda hizo goli kwa timu kama Cameroon, Nigeria, Zambia ,Senegal ningekubali.