Timu ya Tundu Lissu yaelekea kushinda uchaguzi mkuu BAWACHA

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5)

Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi. Team Tundu Lissu alikuwa anaongoza.

Uchaguzi wa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa bado box halijafunguliwa.

Tupo hapa Ubungo
 
Kwa hiyo wataenda kuwa chawa wa Lissu badala ya kuwakilisha Bawacha?

Amandla...
 
Kule X , chawa wa Mbowe kasema timu Mbowe kashinda m/kiti Bawacha bila kutaja matokeo ya kura.
 
Achana nao wazushi. Kura za mwenyekiti wa BAWACHA Taifa zinahesabiwa muda huu
 
Ningependa tu kuliweka hili sawa kwamba, kimsingi machawa ni watu wanaopatikana ccm tu vyama vingine havina hao watu wanaoitwa machawa.
 
Nafasi ya mwenyekiti pia inarudiwa kati ya sharofa na simba
 
Hii itakuwa mbaya sana kwa mbowe, maana amewekeza nguvu nyingi kwa wanawake
 
Ningependa tu kuliweka hili sawa kwamba, kimsingi machawa ni watu wanaopatikana ccm tu vyama vingine havina hao watu wanaoitwa machawa.
Ilikuwa hivyo. Uchaguzi huu ndio umeonyesha kuwa hata upinzani kuna chawa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom