Kwa hiyo wataenda kuwa chawa wa Lissu badala ya kuwakilisha Bawacha?Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5)
Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi. Team Tundu Lissu alikuwa anaongoza.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa bado box halijafunguliwa.
Tupo hapa Ubungo
Achana nao wazushi. Kura za mwenyekiti wa BAWACHA Taifa zinahesabiwa muda huu
Obviously. Ila tatizo linakuja, maskini huwa na chawa asilia na sio chawa wafuata hela! Ahahahahaha!!Kwa hiyo wataenda kuwa chawa wa Lissu badala ya kuwakilisha Bawacha?
Amandla...
Time will tell.Timu ya Lissu haina machawa maana ajenda zinajulikana
Ilikuwa hivyo. Uchaguzi huu ndio umeonyesha kuwa hata upinzani kuna chawa.Ningependa tu kuliweka hili sawa kwamba, kimsingi machawa ni watu wanaopatikana ccm tu vyama vingine havina hao watu wanaoitwa machawa.
Hao wapo mpaka kwenye familiaNingependa tu kuliweka hili sawa kwamba, kimsingi machawa ni watu wanaopatikana ccm tu vyama vingine havina hao watu wanaoitwa machawa.
Kura hazijatosha kivipi? Mwambieni mbowe aache demokrasia ichukue mkondo wake.Nafasi ya mwenyekiti pia inarudiwa kati ya sharofa na simba