Timu ya Wanawake ya Tanzania kuzidi kuwa tishio barani Afrika huku ya wanaume ikijikongoja

Timu ya Wanawake ya Tanzania kuzidi kuwa tishio barani Afrika huku ya wanaume ikijikongoja

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa pili, tatizo lipo wadau?..
 
Back
Top Bottom