Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa pili, tatizo lipo wadau?..