Tz boy 4tino JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 1,598 Reaction score 1,822 Nov 21, 2019 #1 Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa pili, tatizo lipo wadau?..
Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa pili, tatizo lipo wadau?..