😀Newcastle walikuwa wana kila resource ya kupanda, ningewashangaa kama wasinge rud
Tumerudiiiiiiiiiii.viva Newcastle. Chama langu hili tangu utotoni.
Acha uongo.. championship haiwez kuwa league Ngumu... hata siku moja..Kwa kuongezea kidogo , Newcastle United wamepanda daraja baada ya kufikisha point 88 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote , na hivyo kuungana na Vinara Brighton &Hove Albion waliokwishapanda siku kadhaa zilizopita
Newcastle imepanda kwa kishindo baada ya kuitandika Preston North End 4 - 1 , kwa mabao mawili ya Ayoze Perez , bao tamu la Christian Atsu na lingine la penati ya Matt Richie .
Naipongeza sana Newcastle baada ya kufaninikiwa kuchoropoka kwenye ligi ngumu sana ya Championship na kudumu kwa msimu mmoja tu .
Kuuliza si ujinga , una akili timamu ?Acha uongo.. championship haiwez kuwa league Ngumu... hata siku moja..
League ngumu huzijui bora ukae kimyaa.. watu kitambo tunafuatilia hiyo league..Kuuliza si ujinga , una akili timamu ?
Tuko vizuriiii.benitez atatupeleka UCL.au Europa.mwaka ujao.Nilizimiss point zangu 6 kwa msimu. Karibuni tena.
Wakati wanashuka daraja mwaka Jana walisema hivi "We will back"Tumerudiiiiiiiiiii.viva Newcastle. Chama langu hili tangu utotoni.
Sawa.wauane tuWakati wanashuka daraja mwaka Jana walisema hivi "We will back"
They are back at last.
My wish is to see,Sheffield Wednesday coming back to EPL since 1993
Newcastle ina mapungufu makubwa matatu , beki wa kati , kiungo mkabaji na mshambuliaji wa ukweli .Tuko vizuriiii.benitez atatupeleka UCL.au Europa.mwaka ujao.
Mtaalam benitez yupo atarekebisha.tukirudi championship naendelea na Chelsea yangu.Newcastle ina mapungufu makubwa matatu , beki wa kati , kiungo mkabaji na mshambuliaji wa ukweli .
Bila kurekebisha haya mtarudi mlipotoka .
Haya sawa mjingawewe[emoji2]Tuko vizuriiii.benitez atatupeleka UCL.au Europa.mwaka ujao.
Hajui kama huko ni pagumu kuliko hata EPLKuuliza si ujinga , una akili timamu ?
Unajidhihirisha wazi kuwa huenda hauko sawa kiakili huko champioship ni moto wa kuotea mbali.Acha uongo.. championship haiwez kuwa league Ngumu... hata siku moja..