Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Championship huko ni pagumu balaa, huwez amin man u au arsenal au liver hata chelsea akienda huko anaweza asirudi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu hauko Serious.. ugumu wake n upi kwa mfano mkuu.Championship huko ni pagumu balaa, huwez amin man u au arsenal au liver hata chelsea akienda huko anaweza asirudi tena
Ugumu upo kwenye ratiba kwanza... Hawa ligi tu wanacheza mechi zaidi ya 45.Mkuuu hauko Serious.. ugumu wake n upi kwa mfano mkuu.
Hata huku EPL michuano n mingi sAna.. especially wale wa Europa na uefa.. FA.Ugumu upo kwenye ratiba kwanza... Hawa ligi tu wanacheza mechi zaidi ya 45.
Bado michuano mingine.
Hii ligi ni less technical lakini physicality imetawala...
Yeyote anapigwa huko.
Inahitajika nguvu kubwa kukuelewesha...Hata huku EPL michuano n mingi sAna.. especially wale wa Europa na uefa.. FA.
Carling cup... ngao ya hisani....
Acha uongo.. championship haiwez kuwa league Ngumu... hata siku moja..
Kuhusu kuanza napingana nawewe huwa zinaanza siku moja.. kumaliza inawah kumaliza.. mfano saiv zimeshachezwa game 44 bado mbili tu... kwa hiyo kigezo chako n team kuwa nyingi.??Unajuwa ina timu ngapi kulinganisha na EPL? Ugumu wake sio kuwa na timu kubwa bali idadi ya mechi timushiriki inazocheza msimu mzima. FYI ligi hii ina timu 24 na hivyo kila timu hucheza mechi 46 yaani 23 home na 23 away. Huanza kabla ya EPL na huisha baada ya EPL. Pia haiguswi na ile international break ya FIFA kwa hiyo timu hazipumziki.
Mkuu nafuatilia sana mpira.. ndo starehe yanguInahitajika nguvu kubwa kukuelewesha...
Kuhusu kuanza napingana nawewe huwa zinaanza siku moja.. kumaliza inawah kumaliza.. mfano saiv zimeshachezwa game 44 bado mbili tu... kwa hiyo kigezo chako n team kuwa nyingi.??
Okay.. but point yangu n kwamba.... ile sio league ngumu ila.. ina team za ki average... yaan wachezaji n average.. team average... n mostly team nying viwango n vibovu... thus why brotherWrong......hazianzi siku moja(kwa vile Championship walianza August 5, 2016 huku EPL ikianza August 21) na championship inaisha siku ya fainali ya playoffs (itachezwa May 29 2017 huku EPL ikiishia May 20 2017)
Mnaweza Rudi tenA....haijawahi kujulikana hapa, ila mimi ni shabiki wa kufa wa Newcastle United
Tangu tupo championship msimu nilikuwa na uhakika wa 100% kama tungepanda ligi ujio wa RB uliongeza chachu na hamasa kwetu.
Mike Ashley aliweka ubahili kando na kufanya usajili wa maana kwa kumchukua mtoto matata sana Lascelles na anafanya vizuri
kuondoka kwa Georginio Wijnaldum ilikuwa ni pigo sana kwetu ila kila kitu kipo sawa.
Natarajia mengi msimu ujao toka kwa Toon Army na nina imani tunaweza shiriki michuano ya ulaya
[HASHTAG]#ComeOnUToons[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WeAreAllUnited[/HASHTAG]
[HASHTAG]#HereWeGoMagpies[/HASHTAG]
Aleksander Mitrovic
Ayoze Perez
Vurnon Anita
Chancel Mbemba
Daryl Jaanmat
Cheikh Tiote
Mapou Yanga-Mbiwa
Mkuu hii ligi ni ngumu kuna timu zilishuka huko mpaka leo hazijawahi kurudi tena ligi kuu,QPR,Leeds,portmouth hii imezid kushuka tu,Aston Villa,,,nk.Okay.. but point yangu n kwamba.... ile sio league ngumu ila.. ina team za ki average... yaan wachezaji n average.. team average... n mostly team nying viwango n vibovu... thus why brother
Okay.. but point yangu n kwamba.... ile sio league ngumu ila.. ina team za ki average... yaan wachezaji n average.. team average... n mostly team nying viwango n vibovu... thus why brother
Championship...Wapi..
Dahhhhh kwa hiyo unataka kusema EPL n rahis sana kuliko championshipSijui mdogo wangu unaelewa kuwa neno "ugumu" ni subjective? Mathalan unaweza kuchukulia kuwa maisha ya jela ni magumu kuliko ya uraiani lakini ukienda katika uhalisia ukakuta kuna mtu aliye uraiani ana maisha magumu kuliko aliye jela!
Utoto unakusumbua...Championship...
huyu dogo anayejiita proffesor (badala ya professor) hajui mpira hata kidogo hasa ligi za uingerezaSijui mdogo wangu unaelewa kuwa neno "ugumu" ni subjective? Mathalan unaweza kuchukulia kuwa maisha ya jela ni magumu kuliko ya uraiani lakini ukienda katika uhalisia ukakuta kuna mtu aliye uraiani ana maisha magumu kuliko aliye jela!
Dahhhhh kwa hiyo unataka kusema EPL n rahis sana kuliko championship
Mara nyingi team ikishuka daraja wachezaji wanaondoka... then inabak jina tu... inakuwa average kama team za huko.. kupanda inachukua muda mrefu Newcastle bahat nzur aliuza wachezaj wachache probably wa 2..... lakn hizo team za championship n mbovu sanaaa ila hakuna ugumuNyie millenials mnanipa muda mgumu kuwaelewesha. Mnaangalia majina ya timu na usahabiki wenu huku hamuangalii mazingira ya ligi hizo. Hebu kasome historia ya soka viszuri uone timu za championship zilikuwa nini miaka kadhaa iliyopita!
Blackburn Rovers
Bingwa wa England 1994/1995
Leeds United
Bingwa England msimu wa 1990/1991
Semi finalist champions League 2002
Nottingham Forest
Bingwa Wa Ulaya 1978/79 na 1980/81(wamechukua ubingwa mara nyingi zaidi ya Chelsea(1) na Arsenal(0) Totenham(0) Man City(0)
Aston Villa
Bingwa wa ulaya 1982 (wamechukua ubingwa mara nyingi zaidi ya Arsenal(0) Totenham(0) Man City(0)
Sasa angalia baada ya kushuka daraja wana hali gani?